PIN SONGS

New Hit Alert: Lady JayDee - Sawa Na Wao kutoka Jumatatu Ijayo!!

Malkia wa Bongo Fleva Lady Jaydee, Baada ya Kufanya Vizuri na Ndi Ndi Ndi ameamua kurudi tena na wimbo mpya ambao ameupa jina 'SAWA NA WAO'.


Kupitia Mtandao wa Instagram, Lady JayDee ameandika 'Jumatatu Tar 4 July 2016
Sawa Na Wao itasikika hewani 
Kwenye Radio na Sehemu zingine mbalimbali uzipendazo
Kaa Tayari Kupokea
#SawaNaWao 
#SawaNaWao 
#SawaNaWao'.

kaa Nasi, uwe wa kwanza kupakua HIT hii kutoka kwa JIDE.

No comments

https://www.toprevenuecpmnetwork.com/ibvmnwm3?key=4c1f22dbf7eee0c14f0aa29273ab774f