PIN SONGS

Hit Alert: Papa Wemba Ft. Diamond Platnumz soon kwenye sikio lako! Kaa Tayari


Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo naDiamond Platnumz kutoka Tanzania.


Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki waDiamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.
Endelea kutembelea mtandao huu, uwe wa kwanza kuipakua Hit hii.

No comments

https://www.toprevenuecpmnetwork.com/ibvmnwm3?key=4c1f22dbf7eee0c14f0aa29273ab774f